WAZIRI KAPINGA ATEMBELEA BANDA LA BENKI YA NMB SABASABA

 Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Judith Kapinga (Mb), akipokelewa na Mkuu wa Mtandao wa Matawi na Mauzo wa Benki ya NMB, Donatus Richard, alipotembelea banda la benki hiyo katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam yanayoendelea katika Viwanja vya Saba Saba. 


Katika ziara hiyo, Waziri Kapinga alipewa maelezo kuhusu suluhisho mbalimbali za kibenki zinazochochea ukuaji wa biashara, ujumuishaji wa kifedha na mageuzi ya uchumi wa kidijitali nchini.






Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

VIONGOZI BORA BARANI AFRIKA KWA SASA.

DK MAGUFULI ATANGAZA KIAMA CHA MAJAMBAZI, WEZI NA MAFISADI KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI SUMBAWANGA,TUNDUMA, ILEJE NA MBOZI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026

18 WAPITISHWA KUGOMBEA UONGOZI YANGA

ASKOFU GWAJIMA: VIJANA PUUZENI WANAOCHOCHEA VURUGU