WAZIRI WA ULINZI DKT. NYANSAHO ATEMBELEA BANDA LA TANESCO MAONESHO YA SABASABA

 


NA MWANDISHI WETU


WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,Dkt. Rhimo Nyansaho, leo Julai 06, 2026  ametembelea Banda la TANESCO katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) na kujionea ubunifu wa kidijitali unaolenga  kuongeza thamani ya matumizi ya nishati ya umeme kwa wananchi. 


Dkt Nyansaho ameshuhudia maendeleo ya Teknolojia ya nishati safi ya umeme katika vyombo vya usafiri, matumizi ya luku janja na teknolojia ya Nyumba Janja kwa maana ya (Smart House), inayomuwezesha mwananchi kudhibiti matumizi ya vifaa vya umeme kwa urahisi, kuongeza usalama wa nyumba na kufanya matumizi sahihi na yenye ufanisi  ya umeme.





Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK MAGUFULI ATANGAZA KIAMA CHA MAJAMBAZI, WEZI NA MAFISADI KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI SUMBAWANGA,TUNDUMA, ILEJE NA MBOZI

JUA AINA NNE ZA KABILA LA WASUKUMA

PICHA YA RAIS ILIYOBAMBA WIKI HII

18 WAPITISHWA KUGOMBEA UONGOZI YANGA

VIONGOZI BORA BARANI AFRIKA KWA SASA.

ZIJUE SIFA ZA WANYAKYUSA WA KYELA NA RUNGWE

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA