CHATANDA AWAONGOZA UWT KWENYE KILELE CHA TAMASHA LA KIZIMKAZI


Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Taifa, Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC), leo tarehe 14 Agosti 2026, amewaongoza viongozi na wanachama wa UWT kushiriki katika Kilele cha Tamasha la Kizimkazi, kilichofanyika katika Uwanja wa Mwembe Makunduchi, Zanzibar.

Katika kilele hicho, Mwenyekiti Chatanda amewaongoza wana UWT katika shamrashamra za kusherehekea pamoja na wananchi na washiriki wengine wa tamasha hilo.

Tamasha hilo limefungwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.




 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

Soma Taarifa ya UTEUZI:Rais Jakaya Kikwete amemteua Dkt. Ben E. Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya PUMA Energy (zamani ilijulikana kama BP Ltd)

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

OWM–TAMISEMI YASHINDA TUZO YA MABADILIKO YA KIDIJITALI KATIKA TEHAMA AWARDS 2026

BINTI WA KITANZANIA GLORIA MAJULE ASHINDA TUZO YA UANDISHI BORA WA FILAMU YA MALARIA MAREKANI ‎

KOCHA WA MC ALGERS AIHOFIA YANGA

MAMBO 16 USIYOYAJUA KUHUSU RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE

VIONGOZI NA WATENDAJI WA MATAWI UVCCM PANGANI WANOLEWA

HIZI HAPA TAKWIMU ZA PETER SHALULILE MCHEZAJI MPYA WA YANGA SC 🔰 🔥