Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Ado Shaibu akiongoza kikao na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi, mkoani Rukwa kwa ajili ya kujadilia taarifa ya hesabu zilizokaguliwa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Kikao hicho kimefanyika kwenye Ukumbi wa Stanslaus Kasusula bungeni Dodoma Agosti 21,2026. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Abdalah Chikota.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Abdalah Chikota.
Wajumbe wa kamati hiyo wakiwa kwenye kikao hicho.
Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi wakijitambulisha.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203
Makamu Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Abdalah Chikota.
Viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi wakijitambulisha.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments