KAMATI YA BUNGE YA BAJETI KUVUNJA REKODI YA UKUSANYAJI MAPATO

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bajeti ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mashimba Ndaki na mjumbe wa kamati hiyo, Esther Matiku wameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuboresha mifumo ya ukusanyaji kodi hivyo kupelekea kuvuka malengo.

Wametoa pongezi hizo walipokuwa wakizungumza na vyombo vya habari kwenye viunga vya Bunge jijini Dodoma Oktoba 15, 2026 mara baada ya kufanya kikao na mamlaka hiyo.

Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mashimba Ndaki (kushoto) akiongoza kikao hicho. Kulia ni Kamishna Mkuu wa TRA, Yusufu Mwenda.
Wabunge wajumbe wa kamati hiyo wakiwa katika kikao hicho.



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MAELFU WAFURIKA TIKTOK LIVE YA DHARURA YA WAZIRI GWAJIMA KUHUSU CHANGAMOTO ZA WANAUME KWENYE NDOA

MWENGE WA UHURU WAMURIKA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO LA KWELA

SERIKALI ITAENDEA KUHIMIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KUIMARISHA UTENDAJI KAZI- LONDO

KATIKA MWAMBA HUU NITALIJENGA KANISA.