MATUKIO YA WAZIRI DKT. NYANSAHO ALIPOHUDHURIA KIKAO NA KAMATI YA BUNGE YA NUU

Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa (JKT),Dkt. Rhimo Nyansaho akiwa katika matukio mbalimbali wakati Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU)  ilipofanya kikao na Wizara hiyo bungeni Dodoma Oktoba 22, 2026. Kikao hicho kiliongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Najma Murtaza Giga. 
Dkt. Nyansaho akisalimiana na baadhi ya viongozi wa Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kwenye viunga vya Bunge baada ya kumalizika kwa kikao hicho.
Akiwasalima baadhi ya wabunge.

Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara akisalimiana na baadhi ya viongozi wa JWTZ.




Mwenyekiti wa kamati hiyo Najma Murtaza Giga. akiongoza kikao hicho.
Dkt. Nyansaho (kushoto) akiwa katika kikao hicho.




 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MAELFU WAFURIKA TIKTOK LIVE YA DHARURA YA WAZIRI GWAJIMA KUHUSU CHANGAMOTO ZA WANAUME KWENYE NDOA

MWENGE WA UHURU WAMURIKA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO LA KWELA

NMB, UDSM waendeleza ushirikiano wa kukuza vipaji

SERIKALI ITAENDEA KUHIMIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KUIMARISHA UTENDAJI KAZI- LONDO