MWANYIKA 'AMKABA KOO' WAZIRI BUNGENI KUSUASUA UJENZI WA BARABARA YA ITONI- LUSITU

Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika amezidi kuiulizia Serikali bungeni kuhusu kusuasua kwa ujenzi wa Barabara ya Itoni - Lusitu iliyopo Njombe na kuhoji ujenzi wake utakamilika lini?
Amehoji hilo alipouliza swali la nyongeza kwa Waziri wa Ujenzi Masanja Kadogosa Oktoba 28, 2026 bungeni Dodoma.

 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MAELFU WAFURIKA TIKTOK LIVE YA DHARURA YA WAZIRI GWAJIMA KUHUSU CHANGAMOTO ZA WANAUME KWENYE NDOA

MWENGE WA UHURU WAMURIKA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO LA KWELA

SERIKALI ITAENDEA KUHIMIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KUIMARISHA UTENDAJI KAZI- LONDO

NMB, UDSM waendeleza ushirikiano wa kukuza vipaji