LEO BUNGENI DODOMA
Prof Sospeter Muhongo, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini ameshauri ukuaji wa uchumi wetu uwe wa kasi ya asilimia 10 kwa mwaka (GDP growth rate of 10% per annum) ili kufikia lengo letu kuu la VISION 2050 la GDP per capita ya USD 7,000 (in 2050) kutoka USD 1,325 (in 2026).
Tafadhali msikilize Prof Muhongo kutoka Video/Clip iliyoambatanishwa hapa.
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
www.musomavijijini.or.tz
P. O. Box 6
Musoma
Date: Thu, 29 Oct 2026.
Comments