WABUNGE WAPIGWA MSASA NEMC KUWA MAMLAKA KAMILI

Mwenyekiti wa Kamti ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, Jackson Kiswaga na Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Immaculate Sware Semesi wakielezea yaliyojiri katika semina iliyoandaliwa na NEMC kuwapa uelewa wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge za Maji na Mazingira na Kamati ya Katiba na Sheria kuhusu mabadiliko tarajiwa ya Baraza hilo kuwa Mamlaka ya Usimamizi wa Mazingira (NEMA). Semina hiyo iliyohudhuriwa pia na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Reuben Kwagilwa pamoja na watalaamu wengine ilifanyika katika ukumbi wa Spika bungeni Dodoma Oktoba 21, 2026.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Maji na Mazingira, Jackson Kiswaga (kulia) akifungua semina hiyo.
Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Immaculate Sware Semesi akielezea umuhimu wa kuundwa kwa mamlaka hiyo.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Reuben Kwagilwa akitia baraka mabadiliko hayo.
Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa EWURA, Haruna Masebu akielezea muundo utakavyokuwa wa mamlaka hiyo mpya.


Wabunge ambao ni wajumbe wa kamati hizo mbili wakishiriki katika semina hiyo.

Baadhi ya wabunge wakitoa michango yao.





Baadhi ya watendaji wa NEMC.

 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MAELFU WAFURIKA TIKTOK LIVE YA DHARURA YA WAZIRI GWAJIMA KUHUSU CHANGAMOTO ZA WANAUME KWENYE NDOA

MWENGE WA UHURU WAMURIKA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO LA KWELA

NMB, UDSM waendeleza ushirikiano wa kukuza vipaji

SERIKALI ITAENDEA KUHIMIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KUIMARISHA UTENDAJI KAZI- LONDO