ZINGATIENI KATIBA, KANUNI NA TARATIBU ZA CHAMA KWA WANAOGOMBEA UONGOZI - CHATANDA

 Mlezi wa CCM Mkoa wa Mara na Mwenyekiti wa UWT Taifa, Ndg. Mary Pius Chatanda (MCC), amewataka viongozi na wanachama wa CCM kuzingatia Katiba, kanuni na taratibu za Chama katika kuelekea uchaguzi wa ndani wa mwaka 2027, akisisitiza kuwa nafasi za uongozi zinapaswa kupatikana kwa kuzingatia uwezo na sifa za mtu kuongoza badala ya kupanga safu kwa maslahi binafsi.


Chatanda ametoa kauli hiyo  Novemba 7, 2026, katika ukumbi wa Ofisi za CCM Mkoa wa Mara, alipozungumza na Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Mara, ambapo amekemea tabia ya baadhi ya wanachama kupanga safu za uongozi kabla ya uchaguzi na kuwataka kutoa haki na fursa sawa kwa wote wanaowania nafasi mbalimbali.









 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MWENGE WA UHURU WAMURIKA MIRADI YA MAENDELEO JIMBO LA KWELA

NMB, UDSM waendeleza ushirikiano wa kukuza vipaji

SERIKALI ITAENDEA KUHIMIZA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KUIMARISHA UTENDAJI KAZI- LONDO

MAELFU WAFURIKA TIKTOK LIVE YA DHARURA YA WAZIRI GWAJIMA KUHUSU CHANGAMOTO ZA WANAUME KWENYE NDOA