Mgombea urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa akisisitiza jambo alipokuwa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana, kuhusu ukiukwaji wa sheria ya gharama za uchaguzi na kudai kwamba Mgombea urais kupitia CCM,Rais Jakaya Kikwete amekiuka sheria hiyo kwa kitendo cha kuongeza mshahara wa watumishi wakati huu wa kampeni.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE

CHAKUHAWATA WANENA MAKUBWA--