JK AFUNGUA KOZI YA UPASUAJI WA UBONGO,UTI WA MGONGO NA MISHIPA YA FAHAMU

Rais Jakaya kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi wa kozi ya upasuaji wa mishipa ya fahamu, ubongo na uti wa mgongo kwa nchi za Afrika Mashariki, Kati na Kusini iliyoanza  jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii,  Dk. Hadji Mponda na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI), Profesa Lawrence Mseru. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA