KILA GOLI MILIONI 1 πππ
Kiungo Mshambuliaji wa Young Africans Stephane Aziz Ki katoa Ahadi "Mchezaji yeyote atakae Funga Goli dhidi Mamelod Sundowns atapatiwa kiasi cha MILION 1 kutoka kwake.
Pia kasema kwa upande wa Mabeki wakizuia vizuri bila kuruhusu goli watapatiwa MILION 1..!
Sio Game ya Viongozi tu hata wachezaji wenyewe wanaitaji Mechi..!✅
Amesema Ally Kamwe Msemaji Wa Yanga
#travellerwayanga
#yangascupdates
Comments