SIMBA YAKUNG'UTWA NA AZAM MABAO 3-1

MSHAMBULIAJI wa Azam FC, Jamal Mnyate, akimtoka beki wa Simba, Meshack Abel, timu hizo zilipomenyana leo kwenye Uwanja, Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam, katika mechi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom. Simba imelala kwa mabao 3-1. (PICHA YA CHACHANDU DAILY)

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Kikwete akiingia katika ukumbi wa Blue Peal Hotel jijini Dar es Salaam, kuhudhuria semina hiyo, iliyoanza jana katika ukumbi huo mjini Dar es Salaam, nyuma yake ni Spila wa Bunge, Anna Makinda. (PICHA YA CHACHANDU DAILY)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE