MAADHIMISHO YA MIAKA 34 YA CCM

Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akimsabahi mtoto mdogo muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa Michezo wa Jamhuri kuongoza sherehe za miaka 34 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi zilizofanyika mjini Dodoma.

Baadhi ya wanachama wa CCM
wakiandamana wakati wa kilele cha Sherehe za
miaka 34 ya kuzaliwa kwa Chama Cha
Mapinduzi zilizofanyika mjini Dodoma.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi  Rais
Jakaya Kikwete akiwapungia wanachama wa
CCM waliokuwa wakiandamana  katika uwanja
wa michezo wa Jamhuri  mjini Dodoma wakati
wa kilele cha sherehe za miaka 34 ya kuzaliwa
kwa CCM.Wengine katika picha kutoka kushoto
ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma
William Kusila, Katibu mkuu wa CCM Yusuf
Makamba(watatu kushoto) na Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete(wanne kushoto

Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akimkabidhi  nahodha wa timu ya KFC ya mjini
Dodoma Orgenes Mollel  kombe la ushindi wa
michezo ya CCM baada yatimu hiyo kuibuka
mshindi wa kwanza katika michuano ya kilele
cha sherehe za miaka 34 ya kuzaliwa CCM
zilifofanyika mjini Dodoma. (PICHA NA FREDDY
MARO) .

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Rais Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi
wakati wa kilele cha sherehe za miaka 34 ya
kuzaliwa CCM zilizofanyika mjini Dodoma.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda