PINDA AKICHATI NA WABUNGE


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Grace Kiwelu kwenye viwanja vya  Bunge Mjini Dodoma  Februari 10, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kisalimiana na Mbune wa Kisesa, Luhaga Mpina (kushoto) na Mbunge wa VIti Maalum, Mary Mwanjelwa (wapili kushoto)  kwenye jengo la Utawala la Bunge Mjini Dodoma Februari 10, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Tundu Lissu na dewji
Mnadhimu Mkuu wa Kambi ya Upinzani Bungeni, undul Lissu (kusoto) akisalimiana na Mbunge wa Singida Mjini, Mohamed Dewji ja kwenye viwanja vya bunge mjni Dodoma.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

MJUE VIZURI KOCHA MPYA WA YANGA PEDRO

RAIS SAMIA SIO RAIS JOYCE BANDA WA MALAWI, TANZANIA SIO KENYA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

BALOZI MIGIRO AKUTANA NA JOPO LA WAANGALIZI WA UCHAGUZI MKUU WA UMOJA WA AFRIKA