Mwenyekiti wa Bunge ambaye pia ni Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika akiongoza mjadala wa wabunge kuhusu makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2026-2027 unaoendelea bungeni Dodoma Aprili 9, 2026.


 Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuupatia Mkoa wa Njombe miradi mingi ya maendeleo kikiwemo Chuo Kikuu.

Aidha, Mwanyika akichangia hotuba ya Waziri Mkuu bungeni Dodoma Aprili 14, 2026 hajasita kueleza ukweli kwamba bila kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya Itoni - Lusitu mradi wa chuma wa Liganga hautakuwa na maana, kwani unategemea sana barabara hiyo.











Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

TANZIA;.KWA KHERI DADA YETU MPENDWA EDITHA, TASNIA IMEPATA PIGO

NATAKA TANZANIA, KENYE NA UGANDA IWE NCHI MOJA, ILI BAHARI YA HINDI IWE YETU SOTE - MUEVENI

RAIS SAMIA AWASILI IRINGA KWENDA MEI MOSI NJOMBE