🟩🟨⬛MWANANCHI! TUNAJUA UNAJUA ila tunakukumbusha tu vyeo vitano vizito vya Eng. Hersi Said (@caamil_88). Fuatilia kwa umakini tafadhali...


1️⃣Rais wa Klabu Kubwa Afrika Mashariki, Young Africans 

2️⃣Mjumbe wa kamati tendaji ya Shirikisho la mpira wa Miguu Afrika - CAF.

3️⃣Mwenyekiti wa Umoja wa Vilabu Afrika - ACA

4️⃣Mjumbe wa Kamati ya Mashindano ya Wanaume ya shirikisho la mpira wa miguu Duniani - FIFA

5️⃣Balozi wa Lugha ya Kiswahili duniani.


Mwananchi! Vyeo vikubwa vinaendelea kumfuata Rais wetu, Hersi Said. Kuwa mkweli unasubiri kuona cheo gani kikubwa zaidi kwa mwamba?


#phupdates 

#daimambelenyumamwiko

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

TANZIA;.KWA KHERI DADA YETU MPENDWA EDITHA, TASNIA IMEPATA PIGO

NATAKA TANZANIA, KENYE NA UGANDA IWE NCHI MOJA, ILI BAHARI YA HINDI IWE YETU SOTE - MUEVENI

RAIS SAMIA AWASILI IRINGA KWENDA MEI MOSI NJOMBE