NAIBU WAZIRI WA ELIMU WANU AZUNGUMZA NA WANAFUNZI BUNGENI

 


Naibu Waziri wa Elimu na Teknolojia ya Habari, Wanu Hafidh Ameir akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Chemuchemu ya Jijijini Dodoma  iliyotembelea Bunge jijini Dodoma Mei 6, 2026, kwa lengo la kujifunza mwenendo wa Bunge hilo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Akipiga picha nao.


Afisa mwandamizi wa Elimu kwa Umma wa Bunge, Waziri Kizingiti akitoa maelekezo kwa wageni wakiwemo wanafunzi kuhusu taratibu za bunge.
Wanafunzi wakiwa Ukumbi wa Msekwa kupata elimu kuhusu mwenendo wa Bunge pamoja na kupata fursa ya kuuliza maswali baada ya kuhuhudhiria kwenye ukumbi mkubwa.



Wanafunzi na walimu wao wakiwa ndandi ya ukumbi mkubwa wakisikiliza kipindi cha maswali na majibu.



IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA - 0754264203







Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK MAGUFULI ATANGAZA KIAMA CHA MAJAMBAZI, WEZI NA MAFISADI KATIKA MIKUTANO YA KAMPENI SUMBAWANGA,TUNDUMA, ILEJE NA MBOZI

VIONGOZI BORA BARANI AFRIKA KWA SASA.

UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

ASKOFU GWAJIMA: VIJANA PUUZENI WANAOCHOCHEA VURUGU