DK BILAL AMFARIJI BALOZI WA JAPAN NCHINI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.
Mohamed Gharib Bilal, akizungmza na Balozi wa Japan nchini
Tanzania, Hiroshi Nakagawa wakati alipokwenda kwenye Ofisi ya
Ubalozi wa Japan Upanga, Dar es salaam jana, kwa ajili ya kusaini
kitabu cha kumbukumbu kutokana na maafa makubwa yaliyotokana
na Sunami nchini Japan hivi karibuni. (PICHA NA AMOUR
NASSOR-VPO)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA