DK SINARE APINGA MAUAJI YA MBWA NA PAKA

Mwenyekiti wa Chama cha Kuzuia Ukatili Kwa Wanyama Tanzania  (TSPCA) Dr. Sinare Yussuf Sinare (katikati) leo amezungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kutoa taarifa ya kupinga amri ya kuua Mbwa na Paka iliyotolewa na Manispaa ya Morogoro hivi karibuni ambapo kila mwananchi ataepeleka kichwa cha Mbwa ama paka angelipwa shilingi elf tano(sh,5,000/-) Pichani (kushoto) ni Makamu Mwenyekiti TSPCA Anastasia Mmuni.a (kulia) Katibu Mtendaji TSPCA Johari Gessan. (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA

CHAKUHAWATA WANENA MAKUBWA--