JK ATEMBELEA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII

Rais Jakaya kikwete akilakiwa na Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige (kulia), alipowasili Makao Makuu ya wizara hiyo, Dar es Salaam, kwa ziara ya kikazi.

Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Nuru Milao. Katikati ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo,  Maimuna Tarishi.

Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na watumishi wa wizara hiyo alipowasili Makao Makuu kwa ziara ya kikazi

Rais Jakaya Kikwete (kulia), akizungumza huku Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige  akimsikiliza.


Rais Jakaya Kikwete ( wa pili kushoto), akizungumza katika mkutano na Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekiel Maige  pamoja na maofisa wa wizara hiyo.


Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii, wakisikiliza na kuangalia kupitia kwenye  luninga mkutano kati ya Rais Jakaya Kikwete na uongozi wa wizara hiyo uliokuwa ukiendelea kwenye ukumbi mwingine.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA