| Mpoki na tuzo ya wimbo wa asili wa shangazi |
| Juma Kaseja wa Simba akimkabidhi Mzee Yusufu wa Kikundi cha Taarabu cha Jahazi tuzo ya wimbo bora wa taarabu |
| Barnabas na tuzo ya wimbo bora wa Zouk |
Jerry Tegete (kulia) akimkabidhi C-PWAA tuzo ya kushirikiana
| Yesaya Ambwene AY akitumbuiza |
| Chokoraa (katikati) akiwa na tuzo ya Rapa bora wa bendi ya muziki |
| Baadhi ya wapenzi wa muziki wakiwa wamepagawa |
Msanii Linah akilia kwa furaha baada ya kuibuka na tuzo ya msanii bora wa muziki wa kike
| Said Mbela wa Msondo Ngoma akiwa na tuzo ya heshima |
| Linah na Mzee Yusufu wakitumbuiza kwa wimbo wa taarabu |
| Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Imani Kajura (kushoto) akimkabidhi tuzo ya msanii bora wa kike wa muziki, Lady J Dee. Jamaa huyo alimkabidhi |
Comments