MTU MWINGINE AIBUKA TABORA NA KUDAI KUTOA DOZI YA KUTIBU MAGONJWA MBALIMBALI


 Dada Margareth Mutalemwa wa Uzunguni Tabora ambaye naye ameibuka na kuanza kutoa dozi ya magonjwa mbalimbali kwa gharama ya kikombe kimoja sh. 500. Dada Mutalemwa anadai naye ameoteshwa na Mungu kutoa huduma hiyo kwa wagonjwa kwa kutumia dawa hiyo.

Vikombe vya udongo vikiwa na dawa inayotolewa na dada huyo. 

Watu mbalimbali wakiwa wamejipanga tayari kugawiwa dozi na Dada huyo.Picha kwa hisani ya Blogu ya Jamii

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA