PROF.TIBAIJUKA ATEMA CHECHE KURASINI

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka (kulia) akihutubia katika mkutano na wakazi wa Kurasini, Dar es Salaam jana, kuhusu namna ya kufidia nyumba zao ili zibomolewe kupisha upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Tibaijuka akihamaki baada ya wananchi kumuibulia uozo mkubwa ndani ya wizara yake

Meneja Mradi wa Kurasini John Muhando (katikati) wa Wizara hiyo, akiwa hoi baada ya wananchi kumtuhumu waziwazi mbele ya Tibaijuka kuwa ndiye anayewaangamiza katika mradi wa kuwafidia na kuwahamisha eneo la Kurasini ili kupisha upanuzi wa Bandari ya Dar es Salaam.

Mkazi wa Kurasini Jasmine Ngaro akilalamika mbele ya Waziri kwamba amedhurumia nyumba yake

Hilda Mwakasege akilalamika mbele ya Waziri kuwa alipunjwa makusudi fidia ya nyumba yake

Mohamed Mtungata akilalamika jinsi alivyopunjwa fidia ya nyumba yake bada la kulipwa fidia ya vyumba 6, alilipwa fidia ya vyumba vitatu

Tibaijuka akisalimiana na Said Kunyendo pamoja na Mohamed Kiukala ambao kabla ya mkutano huo walimfuata waziri ofisini kwake kumuomba asuruhishe  mtafaruku huo wa fidia ya nyumba zao.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA