TIGO YADHAMINI NGORONGORO MARATHON

Mratibu wa Mradi wa Wellshare Innocent Nduhura (katikati) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam jana. kuhusu maandalizi ya mashindano ya mbio za Ngorongoro za kuchangia fedha za kusaidia kutibu malaria. Kushoto ni Meneja Uhusiano wa Kampuni ya simu ya Tigo, Jackson Mmbando wadhamini wa mbio hizo na  Jolene Mullins ambaye ni Mkurugenzi Mkazi wa Wellshare International.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA