TUZO ZA MUZIKI ZA KILI ZAFANA DAR

Mtoziwa nyimbo za Abbas Hamis '20%',John Shariza aka Man Water (wa tatu kulia) akiwa na wapenzi wa 20% baada ya kupokea kwa niaba ya 20% tuzo ya msanii bora wa muziki wa kiume katika kilele cha Tuzo Bora za wasanii za Kilimanjaro Tanzania, kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.

Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), David Minja (kulia) akimpongeza Man Water kwa niaba ya 20 Percent ambaye aliibuka Msanii Bora wa Kiume katika kilele cha Kilimanjaro Tanzania Music Award 2011 kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA