VODACOM WATINGA IKULU DAR

Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania Jakaya Mrisho
Kikwete, akimkaribisha  CEO wa Vodacom group Pieter Uys mara
alipoenda kumtembelea Mheshimiwa Rais Ikulu kwa maongezi wa
mtandao wake kuongeza uwekezaji hapa nchini. 



Rais Jakaya Kikwete, akimkaribisha  Ofisa Mtendaji Mkuu wa
kampuni ya simu za mkononi, ‘Vodacom Group’ ,  Pieter Uys, wakati
wa ujumbe wa kampuni hiyo ulipofika Ikulu Dar es Salaam juzi kwa
ajili ya mazungumzo kuhusu masuala mbalimbali ya kuongeza
uwekezaji nchini, (kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom
Tanzania, Dietlof Mare. Kulia ni Mkurugenzi wa Mahusiano wa
kampuni hiyo, Mwamvita Makamba


Rais Jakaya Kikwete, akiwa katika picha ya pamoja na  Ofisa
Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi, ‘Vodacom Group’ ,
 Pieter Uys, (wapili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom
Tanzania, Dietlof Mare (kushoto) na Mkurugenzi wa Mahusiano wa
kampuni hiyo, Mwamvita Makamba, wakati wa ujumbe wa kampuni
hiyo ulipofika Ikulu Dar es Salaam juzi kwa ajili ya mazungumzo
kuhusu masuala mbalimbali ya kuongeza uwekezaji nchini.


Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Mkurugenzi wa Mahusiano wa
kampuni hiyo, Mwamvita Makamba, wakati alipoongozana na Ofisa
Mtendaji Mkuu wa kampuni ya simu za mkononi, ‘Vodacom Group’ ,
 Pieter Uys (kushoto) na  Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom
Tanzania, Dietlof Mare (wapili kushoto) kwa ajili ya mazungumzo na
rais kuhusu Masuala ya kuongeza uwekezaji nchini, Ikulu Dar es
Salaam jana.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

MONGELLA AKABIDHIWA ‘MIKOBA’ RASMI YA NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA*

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI