ZIARA YA DK BILAL MONDULI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal katikati, akitembelea mashamba ya kilimo cha mpunga katika mabonde ya Mto wa Mbu Wilayani Monduli,  wakati alipokuwa katika siku ya tatu ya ziara yake ya kukaguwa na kuzinduwa miradi ya maendeleo Mkoani Arusha leo. kulia Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Isidore Shirima

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiweka jiwe la msingi ujenzi wa jengo la Maabara katika Shule ya Sekondari Nanja Wilayani Monduli, alipokuwa katika mfululizo wa ziara yake ya kukaguwa na kuzinduwa miradi ya maendeleo Wilayani Monduli Mkoani Arusha leo. kulia Mbunge wa Monduli Mhe.Edward Lowassa na Mkuu wa Mkoa Arusha Mhe. Isidore Shirima.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Engutoto katika Wilaya ya Monduli Mkoani Arusha, wakati alipotembelea Shule hiyo leo kwa ajili ya kufunguwa Jengo la Bwalo wa Wanafunzi, Makamu Rais yupo Mkoani Arusha kukaguwa na kizinduwa miradi ya maendeleo. katikati Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli Mhe. Edward Lowassa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Isidore Shirima.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA