DATA VISIONYAWASAIDIA WATOTO KIMBANGULILE

Mweka Hazina wa Kikundi cha Kimbangulile Support Group, Bi. Mwanaisha Mkotima (wa pili kulia) akipokea zawadi kutoka kwa Meneja wa Kitengo cha Takwimu, Bw. William Mgaya huku wafanyakazi wenzake wakiangalia. Wa kwanza kulia ni Katibu wa Kikundi hicho Bibi Mary Mbega. (Picha na Magdalena Bwire).

Mtoto Khalfan Ali (5) anayelelewa na kituo cha Kimbangulile Support Group akivalishwa kiatu na Meneja Masoko na Mahusiano wa DataVision International Ltd, Bi. Teddy Qirtu mara baada ya kuongea nao. (Picha na Magdalena Bwire).



Mtoto Sofia Ntamaluge akielezea alivyosaidiwa masomo na kituo hicho hadi kufika kidato cha kwanza. Kushoto ni Katibu wa Kikundi hicho, Bi Mary Mbega na kutoka kulia ni Meneja Masoko na Mahusiano wa DataVision International Ltd, Bi. Teddy Qirtu na Meneja wa Kitengo cha Takwimu, Bw. William Mgaya na Mwenyekiti wa Kimbangulile Support Group, Bibi Leokadia Mchau. (Picha na Magdalena Bwire)






Baadhi ya watoto wa kituo cha Kimbangulile wakisikiliza kwa makini taarifa ya kituo cha Kimbangulie Support Group wakati ikitolewa mbele ya wafanyakazi wa kampuni ya DataVision International Limited huku mwalimu wao Bi. Somoa Benjamin akiangalia (wa nyuma kabisa). (Picha na Magdalena Bwire)






Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda