MAADHIMISHO YA MUUNGANO YAFANA ZENJI

Rais Jakaya Kikwete, akikagua gwaride la heshima wakati wa maadhimisho ya miaka 47 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, leo kwenye Uwanja wa Amaani, Unguja, Zanzibar.


Rais Jakaya Kikwete (kulia) akizungumza na Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein wakati wa maadhimisho hayo.


Viongozi mbalimbali wakiwa wamesimama wakati gwaride la heshima likipita kwa mwendo wa haraka wakati wa maadhimisho hao. (Picha zote na Ramadhan Othman-Ikulu Zanzibar)





Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA