NBC YAWAKUMBUKA WANAWAKE NA WATOTO PASAKA

Baadhi ya watoto wakifurahia mlo wa Pasaka uliotolewa
na benki ya NBCwakati baadhi ya wafanyakzi wa benki hiyo walipokwenda
katika kituocha wanawake na watoto wanaoishi katika mazingira
magumu cha House ofPeace nao kula chakula ikiwa ni sehemu ya sherehe za
Sikukuu ya Pasaka

Baadhi ya watoto wakipiga picha na Mshauri wa
Mawasiliano waBenki ya NC, Robi Matiko-Simba (kulia) akipiga picha na
akimpa chakulamtotowakati baadhi ya wafanyakzi wa benki hiyo walipokwenda
katika kituocha wanawake na watoto wanaoishi katika mazingira
magumu cha House ofPeace kula chakula nao ikiwa ni sehemu ya sherehe za
Sikukuu ya Pasakajijini Dar es Salaam juzi.




Mshauri wa Mawasiliano wa Benki ya NBC, Robi
Matiko-Simba (kulia)akimpa chakula mtotoAngel Godwin wakati baadhi ya wafanyakzi wa benki hiyo
walipokwendakatika kituo cha wanawake na watoto wanaoishi katika
mazingira magumucha House of Peace kula chakula nao ikiwa ni sehemu ya
sherehe zaSikukuu ya Pasaka jijini Dar es Salaam juzi.




Mshauri wa Mawasiliano wa Benki ya NBC, Robi
Matiko-Simba (kulia)akimpa chakula mtotoHusna Abdalah wakati baadhi ya wafanyakzi wa benki hiyo
walipokwendakatika kituo cha wanawake na watoto
wanaoishi katika mazingira magumucha House of Peace kula
chakula nao ikiwa ni sehemu ya sherehe za Sikukuu ya
Pasaka jijini Dar es Salaam juzi.







Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE