PAPA ASEMA DIPLOMASIA ITUMIKE LIBYA


Papa Benedict
Papa Benedict ametoa wito kuwa zitumike njia za kidiplomasia na mazungumzo kumaliza vita vya Libya.

Pia ameomba kuwa msaada upelekwe kwa wale wanaohitaji.
Papa alikuwa akiongoza ibada ya Jumapili ya Pasaka iliyohudhuriwa na maelfu ya waumini wa kikatoliki katika medani ya St Peter's Vatikani.

Kuhusu Mashariki ya Kati kwa jumla alisema anatumai amani itatawala na kushinda magawanyiko, chuki na chuki na ghasia.

Papa pia alisihi umoja na wakimbizi wanaotoroka fujo, hasa kutoka nchi za Afrika.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE