JK AFUNGUA BARABARA YA USAGARA-GEITA

Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuzindua rasmi Barabara ya Usagara - Geita leo.Barabara hiyo yenye urefu wa kilometa 90 imejengwa kwa thamani ya zaidi sh. bilioni 78 zilizotolewa na Serikali ya Tanzania.Kutoka Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Abbas Kandoro, Katibu Mkuu Ujenzi, Balozi Herbert Mrango, Waziri wa Ujenzi John Magufuli, Mbunge wa Misungwi ambaye pia ni Naibu Waziri wa Sayansi na Teknolojia, Charles Kitwanga na Mkurugenzi Mkuu TANROADS Injinia Patrick Mfugale. (PICHA NA FREDDY MARO)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA