JK USO KWA USO NA MAMA CLINTON

Rais Jakaya Kikwete akiagana na Waziri wa Mambo ya Nje wa
Marekani, Hillary Clinton baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu,
Dar es Salaam leo asubuhi. Clinton ambaye alikuwa nchini kwa ziara ya
kikazi ya siku tatu baadaye aliondoka nchini kuelekea Ethiopia. (PICHA
NA FREDDY MARO)

Rais Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa
Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani, Hillary Clinton na Mama Salma
Kikwete mara tu baada ya Clinton alipowasili Ikulu



Rais Jakaya Kikwete na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Hillary
Clinton wakiongoza mazungumzo ya kiserikali kati ya Tanzania na
Marekani yaliyofanyika huko Ikulu, Dar es Salaam.(PICHA NA
JOHN LUKUWI)





Rais Jakaya Kikwete akiwa na Hillary Clinton katika mkutano na
waandishi wa habari, muda mfupi kabla ya mgeni huyo kuondoka.(PICHA NA
JOHN LUKUWI)

















Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DK NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE YUSUF MAKAMBA*

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI