KILIMANJARO BIA YAZIMWAGIA YANGA,SIMBA VIFAA



Meneja wa Bia ya Kilimanjaro George Kavishe (kulia), akimkabidhi jezi na vifaa vingine vya michezo Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Geofrey Nyange 'Kaburu' katika hafla hiyo. Wa pili kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Angetile Hosea, Meneja Masoko wa TBL, Mamongae Mahlare.





Meneja wa Bia ya Kilimanjaro George Kavishe (kulia), akizungumza na waandishi wa habari wakati a kukabidhi vifaa hivyo.





Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Simba Geofrey Nyange "Kaburu' katikati, akiwa ameshikana mikono na Ofisa wa Habari wa Yanga Louis Sendeu kwa kuziunganisha jezi zao baada ya kukabidhiwa na Meneja wa Bia ya Kilimanjaro George Kavishe (kushoto). Wa pili kulia anayeshuhudia tukio hilo ni Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Hosea.








Meneja wa Bia ya Kilimanjaro George Kavishe (kushoto), akimkabidhi jezi na vifaa vingine vya michezo Kocha Msaidizi wa Yanga Salvatory Edward katika hafla hiyo. Wa pili kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Angetile Hosea, Meneja Masoko wa TBL, Mamongae Mahlare na Ofisa habari wa Yanga Louis Sendeu.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA