MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA CHUO CHA KIVUKONI

Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kivukoni, wakifurahia kucheza muziki wenye wimbo wa historia ya chuo hicho, uliokuwa unaporomoshwa na bendi ya DDC Mlimani Park, wakati wa maadhimisho ya miaka 50 tangu chuo hicho kianzishwe mwaka 1961.
Bendi ya DDC Mlimani Park wakitumbuiza wakati wa sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Kivukoni, Dar es Salaam jana. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA