Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli (katikati) akifurahia jambo na Mbunge wa Vunjo, Augustino Mrema (TLP),kushoto, na Mbunge wa Karatu, Mchungaji Israel Natse (CHADEMA) kabla ya kuanza kwa kikao cha thelathini na sita katika mkutano wa nne wa bunge unaoendelea mjini Dodoma.(PICHA NA ANNA NKINDA-MAELEZO)

Comments