MAMBO YA SABASABA LEO

Mtoto akiwa abebwa akitaka kumuona Rais Jakaya Kikwete (hayupo pichani) aliyekuwa akitembelea Maonesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na wafanyakazi wa Twiga Bancorp wakati alipotembelea banda la Benki hiyo katika viwanja vya maonesho ya Kimataifa ya Biashara Dar es Salaam.Nyuma ya Rais ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Twiga Bancorp Hussein Mbululo.
Rais Jakaya Kikwete akimpongeza Ofisa Mtendaji Mkuu wa Twiga Bancorp, Hussein Mbululo (kulia) baada ya Rais kupata maelezo kuhusiana na huduma za Benki hiyo ambayo inamilikiwa na serikali. Rais Kikwete alitembelea banda la Twiga Bancorp wakati wa ziara yake ya kukagua maonesho ya Kimataifa ya Biashara yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Katibu wa Itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi (CCM) Nape Nnauye akijaribu Terekta katika Banda la Wizara ya Biashara na Viwanda wakati alipotembelea maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa
Umati wa watu ukiwa umemzonga Rais Jakaya Kikwete (aliyenyoosha mkono katikati) aliyekuwa akitembelea Maonesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MAKUNDI YA VILABU VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2025.

JINSI YA KUMTAWALA MWANAMKE HASA MKE (USIOE MKE WA MTU)

MUONEKANO WA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA MSALATO

DIARRA KIPA BORA TANZANIA

CHINYELE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI