MAMBO YA SONGEA



Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Ruvuma, Kassim Ntara (kulia) akizungumza jambo na madiwani wa halmashauri hiyo (hawapo pichani),walipotembelea mgodi wa madini ya uranium yaliyopo katika Kijiji cha likuyuseka wilayani humo, hivi karibuni.(PICHA NA MUHIDIN AMRI)




Akina mama wanaojishughulisha na uuzaji wa biashara ya dagaa na samaki pembeni mwa Soko Kuu la Songea wakiwa na biashara zao wakisubiri wateja kama walivyokutwa na mpiga picha wetu jana. (PICHA NA MUHIDIN AMRI)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA