MASHINDANO YA KUTOKOMEZA MALARIA YAFANA DAR

Majaji wa mashindano hayo wakiwa makini kuhakikisha anapatika mshindi wa uhakika.


Wanafunzi wa Jangwani wakionesha umahiri wao wa kuimba wimbo wa kutokomeza ugonjwa wa Malaria.


Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Zanaki, wakiimba wimbo wa kuhamasisha watu kutokomeza Malaria katika mashindano hayo. wakati wa mashindano ya baadhi ya shule za sekondari za Mkoa wa Dar es salaam, jana katika Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Jangwani, Dar es salaam. Mashindano hayo yaliandaliwa na mpango wa Kutokomeza Malaria nchini wa Zinduka. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)


Baadhi ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Jangwani, wakishangilia wakati kwaya ya shule hiyo ikifanya vitu vyake jukwaani,


wana Azania wakifanya mambo

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA