MWAKITELEKO AMEPUMZISHWA MILELE

Baadhi ya wahariri na waombolezaji wengine wakilia kwa uchungu baada ya mwili wa aliyekuwa Naibu Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New Habari (2006), marehemu Danny Mwakiteleko kuwekwa kwenye nyumba yake ya milele, katika Kijiji cha Ndala, Mwakaleli, Tukuyu, mkoani, Mbeya jana.



S ehemu ya umati waombolezaji ukiwa msibani




Mjane wa marehemu, Mwakiteleko, Winnie akiweka shada la maua katika kaburi la mumewe.






Mwili wa mpendwa Danny Mwakiteleko ukipumzishwa kwenye nyumba yake ya milele kijijini kwao Ndala.








Watoto wa marehemu, Mwakiteleko, Vanesa (kulia) na Caroline wakiwa na huzuni wakati wa mazishi.










Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New Habari (2006), Deus Balile akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Naibu wake, marehemu Mwakiteleko.












Mkurugenzi wa Mahusiano wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Jossey Mwakasyuka akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu, Danny Mwaikteleko.













Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya New Habari , wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa boss wao.

















Mhariri Mtendaji wa gazeti la Tanzania Daima, Ansalom Kibanda ( akiwafariji watoto wa marehemu Mwakiteleko wakati wa mazishi.

















Wahariri wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mhariri mwenzao, marehemu Mwakiteleko wakipeleka kwenye nyumba yake ya milele katika Kijiji cha Ndala. (picha zote kutoka blogu ya Full Shangwe)




















Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

MONGELLA AKABIDHIWA ‘MIKOBA’ RASMI YA NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA*

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA