Aliyewahi kuwa Mkuu wa Chuo Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Joseph Mbwiliza (kulia) akiwa na aliyewahi kuwa mhadhiri wa chuo hicho, Balozi Christopher Liundi (katikati) na Mkuu mwingine mstaafu wa chuo hicho, Maalim Abri wakati wa maadhimisho hayo.


Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Chuo ca Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Waziri Mkuu mstaafu, Dk.Salim Ahmed Salim akitafakati jambo wakati Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba (kushoto), akihutubia katika maadhimisho ya miaka 50 ya chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kivukoni, Dar es Salaam

Waziri Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba (kushoto), akihutubia katika maadhimisho ya miaka 50 ya chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kivukoni, Dar es Salaam jana. Warioba alizungumzia mchango wa chuo hicho katika maendeleo ya Taifa. Kutoka kulia ni Mkuu wa chuo hicho, Dk. John Magoti na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya chuo hicho.Waziri Mkuu mstaafu, Dk. Salim Ahmed Salim.


Baadhi ya wanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kivukoni, wakifurahia kucheza muziki wenye wimbo wa historia ya chuo hicho, uliokuwa unaporomoshwa na bendi ya DDC Mlimani Park, wakati wa maadhimisho ya miaka 50 tangu chuo hicho kianzishwe mwaka 1961. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA)



Baadhi ya picha za watu waliowahi kuwa wakuu wa chuo hicho tangu kilipoanzishwa mwaka 1961.Kutoka kushoto ni Kingunge Ngombale- Mwiru, Daud Mwakawago, Gasper Kiiza na Joseph Mbwiliza.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA