ZIARA YA JK WILAYANI TANDAHIMBA

Rais Jakaya Kikwete akifungua kitambaa kuashiria uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa ghala la Chama Cha Ushirika cha Tandahimba Newala (TANECU) huko Tandahimba mkoani Mtwara tarehe 27.7.2011.

PICHA NA JOHN LUKUWI

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwasalimia wafanyakazi wa chama cha ushirika cha Tandahimba Newala na wananchi waliohudhuria sherehe za uwekaji jiwe la msingi la ghala la chama hicho lililojengwa katika mji wa Tandahimba.
Rais Jakaya Kikwete na Mke wake Mama Salma wakiangalia grade mbalimbali za korosho zilizozalishwa na kiwanda cha RVF kilichoko Tandahimba wakati walipokitembelea kiwanda hicho tarehe 27.7.2011. Katikati ni Meneja uzalishaji wa kiwanda ndugu Lydia Amuli.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA