BALOZI WA LIBYA NCHINI,AITWA SERIKALINI KUJIELEZA KWA NINI AMEBADILISHA BENDERA YA LIBYA DAR BILA KUTOA TAARIFA SERIKALINI


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Bernard Membe, akizungumza na Balozi wa Libya nchini, Prof. Ahmed El Ash'hab baada ya Balozi huyo kuitwa Wizarani,Dar es Salaam jana. kufuatia Ubalozi huo kubadilisha Bendera ya nchi hiyo bila kufuata taratibu. (PICHA NA TAGIE MWAKAWAGO WA WIZARA HIYO)


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA