BESIDEI YA MTOTO IMANI PINTO YA KUTIMIZA MIAKA MINNE

Mtoto Imani Pinto (wa pili kulia), akizawadiwa na wageni waalikwa wakati wa hafla ya kuamidhimisha miaka minne ya kuzaliwa kwake, katika hafla iliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Babake mtoto huyo ni Juma Pinto ambaye ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Jambo Concept Tanzania Limited, inayochapa gazeti la Jambo Leo na Jarida la Jambo Brand Tanzania.
Mtoto Imani akiwa katika picha ya pamoja na watoto wenzake wakati wa hafla hiyo
Babake Imani, Juma Pinto 9kulia) akikata keki aliyomwandalia mwanawe. Kushoto ni Mamake Imani, Queen Komanya.
Imani Pinto akiwa na zawadi lukuki alizozawadiwa
Imani akimlisha keki Bibi yake mzaa baba
Imani akilishwa keki na babake
Imani akimlisha keki mamake Queen Komanya
Imani akikata keki kwa kuelekezwa na mamake
Imani akimlisha keki Anko yake, Benny Kisaka

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

MONGELLA AKABIDHIWA ‘MIKOBA’ RASMI YA NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA*

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA