DK SHEIN ASHIRIKI SALA YA IDD ZANZIBAR


Viongozi mbalimbali wakihudhuria sherehe za Baraza la Idd el Fitr katika Ukumbi wa Salama Bwawani mjini zanzibar,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,alipokuwa akisoma hotuba yake.(PICHA NA RAMADHAN OTHMAN-IKULU ZNZ)


Wananchi mbalimbali wa Mji wa Zanzibar na vitongoji vyake wakimsikiliza, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) alipokuwa akisoma hotuba yake wakati Baraza la Idd katika kusheherekea sikuku ya Iddi el Fitri katika ukumbi wa Salama hall Bwawani mjini Zanzibar jana.(PICHA NA RAMADHAN OTHMAN-IKULU ZNZ)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein,(watatu kulia) akijumuika na Viongozi wengine katika sala ya Idd el Fitri iliyosaliwaa katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar leo asubuhi. Anayeongoza sala hiyo ni Sheikh Khamis Haji,Naibu Kadhi mkuu wa Zanzibar. (PICHA NA RAMADHAN OTHMAN-IKULU ZNZ)


Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE