JK AHUDHURIA SALA YA IDD DAR

Rais Jakaya Kikwete akiwapa mkono wa Idd baadhi ya waumini waliohudhuria swala ya Iddi katika Msikiti wa Kichangani, Magomeni Mapipa, jijini Dar es Salaam leo asubuhi, kabla ya mchana kuondoka kwenda Dodoma kuhudhuria sala ya Baraza la Idd.(PICHA NA FREDDY MARO)

Rais Jakaya Kikwete akiwasalimu waumini waliohudhuria swala ya Idd katika Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni Mapipa, jijini Dar es Salaam asubuhi. (PICHA NA FREDDY MARO)


Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakiswali swala ya Idd katika msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni mapipa, jijini Dar es Salaam leo asubuhi.(PICHA NA FREDDY MARO)


Rais Dk.Jakaya Kikwete akiwapa mkono wa Iddi baadhi ya waumini waliohudhuria swala ya Idd katika msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni Mapipa, jijini Dar es Salaam leo asubuhi.(PICHA NA FREDDY MARO)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

Wasifu wa Kizza Besigye

HERSI KWENDA KUSOMA TENA CHUO KIKUU CHA OXFORD UINGEREZA