MAMBO YA SONGEA

Mkurugenzi wa shirika la DMI kanda ya afrika bw TXA ANARTH,akiongea na wahitimu wa chuo cha st Joseph cha mjini songea wakati wa mahafali ya pili ya chuo hicho yaliyofanyika jana mjini songea,
Askofu mkuu wa jimbo kuu la songea Norbet Mtega kushoto,akimueleza jambo mkurugenzi wa taasisi ya habari na teknolojia ya shirika la DMI kanda ya afrika Bw TXA ANARTH katika mahafali ya pili ya chuo cha st joseph cha mjini songea jana ambapo jumla ya wanafunzi 21walihitimu masomo katika ngazi ya shahada na stashahada ya uhandisi na komputer,

Bw harusi Patrick Ndemo akiwa na mkewe Bi Sophia Gedahu baada ya kufunga ndoa katika kanisa la kkkt msamala mjini songea na kufuatiwa na sherehe ya kuwapongeza iliyofanyika katika ukumbi wa songea club mjini songea,bw Harusi ni mfanyabiashara na bi harusi ni mjasiliamali,
Askofu mkuu wa jimbo la songea ambaye pia na mwenyekiti wa bodi ya chuo kikuu cha st joseph cha mjini songea mhasham Norbert Mtega akitoa nasaha kwa wanafunzi na wazazi waliofika katika mahafali ya pili ya chuo hicho yaliyofanyika jana mjini hapa,ambapo jumla ya wahitimu 21 wa ngazi ya shahada na stashahada walitunukiwa vyeti vyao,

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

AZIZ KI AAHIDI KILA ATAKAYEIFUNGA MAMELODI

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE