WANASHERIA 288 WAKUBALIWA UWAKILI LEO


Baadhi ya wapigapicha wa vyombo vya habari na binafsi, wakichukua picha za matukio wakati wa hafla ya kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya 288

Jaji Mkuu Mohamed Chande Othaman ( wa nane waliokaa kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema (wa tatu kulia) pamoja na Majaji wa Mahakama Kuu nchini, mara baada ya kuwakubali na kuwasajili Mawakili wapya,

Wakili mpya, Nicholas Mugaruka, akipewa shada la maua na mama yake, Costance Pross huku baba yake Jackson Bazarwoha akimuangalia kwa furaha, mara baada ya kukubaliwa na kusajiliwa


Mkurugenzi Mkuu wa benki ya CRDB, Charles Kimei, Makamo Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Idris Kikula (katikati) na Mshauri wa mambo ya Kiuchumi, Janeth Mbele, wakijadili jambo katika hafla hiyo.



Baadhi ya Mawakili wakiwa katika hafla yao ya kuwakubali na kuwasajili iliyokuwa ikiongozwa na Jaji Mkuu, Mohamed Chande Othman (hayupo pichani), Viwanja vya Karimjee, Dar es Salaam jana.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

RAIS TRUMP ARARUANA NA RAIS WA UKRAINE

MWABUKUSI ATOA NENO SIMBA KUSUSIA DERBY DHIDI YA YANGA

SERIKALI YALIKUBALI OMBI LA DIAMOND

HOSPITALI YA MUHIMBILI YAANZISHA HUDUMA YA KISASA YA KUZIBA MAPENGO

ARAJIGA AULA KOMBE LA DUNIA